Tel. (+254) 077456-8279 
Email: malikiboys89@gmail.com

Explore Our Site

Idara ya Lugha na Fasihi ya Kiswahili ni mojawapo ya idara zinazojivunia ufanisi katika Shule ya Upili ya Maliki. Kuna jumla ya walimu wanane katika Idara hii akiwemo mwalimu wetu mkuu wa shule kama mwanaidara, mmoja wetu mwenye ujuzi zaidi. Idara hii ya Kiswahili ina walimu wafuatao, ambao hufanya kazi kwa umoja kutimiza malengo na azimio ya idara.

  1. Bi. Selina Mukenya, MWENYEKITI
  2. Bi. Juliet M., KATIBU
  3. Bw. Otieno, MWALIMU MKUU
  4. Bw. Wanjala
  5. Bw. Wanyama
  6. Bw. Kisiang’ani
  7. Bw. Welikhe
  8. Bi. Apiyo

AZIMIO LA IDARA

Azimio letu ni kumkuza mwanafunzi aliye na uwezo wa kujisomea, kufurahia, kuzungumza,kujivunia na kutangamana na jamii kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

ONO LA IDARA

Kuchochea ufanisi wa mwanfunzi katika lugha, isimu na fasihi ya Kiswahili.

MIKAKATI YA IDARA

  1. Umoja na Ushirikiano miongoni mwa walimu ili kukamilisha silabasi kwa wakati unaofaa
  2. Kukuza na kuendeleza sera ya lugha katika shule ya Maliki
  3. Kuhimiza utafiti miongoni mwa walimu na wanafunzi

Kwa ujumla, sisi kama wanaidara tunajivunia na kumtambua Mwalimu Mkuu kama mwanaidara ambaye pia ni mtahini wa karatasi ya tatu ya mtihani wa kitafifa wa K.C.S.E


Bi. Selina Mukenya,
Mkuu Wa Idara ya Kiswahili

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…